Theotokos wa Vladimir ni picha takatifu ya Maria Bikira Daima.[ 1] .
Ubikira wa kudumu ni sifa ambayo Bikira Maria anapewa na Wakatoliki , Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki , pamoja na Waprotestanti wachache, akiwemo Martin Luther . Ni imani yao[ 2] [ 3] [ 4] [ 5] [ 6] [ 7] kuwa Mama wa Yesu anastahili kuitwa “Bikira daima” (kwa Kigiriki ἀειπάρθενος, aeiparthenos; kwa Kilatini sempervirgo) kwa sababu alimchukua mimba akiwa bikira , akamzaa bila ya kupotewa na ubikira, akabaki bikira hadi mwisho wa maisha yake.
Imani hiyo inajitokeza katika maandishi ya Mababu wa Kanisa wa karne ya 4 , halafu katika matamko ya mitaguso mikuu .
↑ McNally, Terrence J. (2009-05-16). What Every Catholic Should Know about Mary . Xlibris . ISBN 9781450045117 .
↑ Merriam-Webster's encyclopedia of world religions by Merriam-Webster, Inc. 1999 ISBN 0-87779-044-2 page 1134
↑ Catechism of the Catholic Church §499
↑ Divine Liturgy of St John Chrysostom Ilihifadhiwa 31 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine ., Coptic Liturgy of St Basil , Liturgy of St Cyril Ilihifadhiwa 5 Februari 2012 kwenye Wayback Machine ., Liturgy of St James Ilihifadhiwa 15 Juni 2008 kwenye Wayback Machine ., Understanding the Orthodox Liturgy etc.
↑ W.A. Wigram, M.A., D.D., An Introduction to the History of the Assyrian Church (PDF) , Assyrian International News Agency (retrieved from www.peshitta.org), uk. 88 {{citation }}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link )
↑ William McLoughlin; Jill Pinnock (2002), Mary for Earth and Heaven , Gracewing Publishing, uk. 326, ISBN 9780852445563
↑ Bishop Mar Bawai Soro, "Mary in the Catholic-Assyrian Dialogue: An Assyrian Perspective", Centro Pro Unione N.54 - Fall 1998 (PDF) , uk. 8, ISSN 1122-0384 , ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-03-16, iliwekwa mnamo 2016-12-20