England (en) | |||
![]() |
![]() |
||
Wimbo wa taifa "God Save the King" |
|||
Eneo la Uiingereza katika UK |
|||
Jiji kubwa (na mji mkuu) |
London | ||
---|---|---|---|
Kabila | |||
Dini | |||
Utaifa | Mwingereza | ||
Aina ya Serikali | Utawala wa moja kwa moja na Serikali ya Uingereza na ugawaji wa madaraka katika maeneo madogo ndani ya ufalme wa kikatiba wa bunge | ||
Mfalme | Charles III | ||
Idadi ya watu | |||
Mwaka wa makisio | 2024 | ||
Idadi ya watu (makisio) | ![]() |
||
Mwaka wa sensa | 2024 | ||
Idadi ya watu (sensa) | ![]() |
||
Pato la taifa | |||
Mwaka wa makisio | 2022 | ||
Jumla | ![]() |
||
Capita | £37,852 | ||
Sarafu | Pauni ya Sterling | ||
Eneo la saa | UTC+0 (GMT) | ||
Nambari ya mwito | +44 | ||
Upande wa gari | kushoto |
Uingereza (pia: Ingilandi kutoka Kiingereza: England) ni nchi kubwa ndani ya Ufalme wa Muungano yenye wakazi milioni 50 (83% ya wakazi wote wa Ufalme) na eneo lake ni takriban km² 130,000 (theluthi mbili za kisiwa cha Britania).