Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Uislamu huko Oceania

Msikiti wa Gallipoli, Auburn, Sydney.
Uislamu kwa nchi

Uislamu barani Oceania ni jina la kutaja Uislamu na Waislamu barani Oceania.

Kwa makadirio ya sasa, kuna Waislamu 498,395 wanaoishi barani Oceania, wakiwemo 399,000 nchini Australia, 36,072 nchini New Zealand, 54,323 nchini Fiji, 6,350 nchini New Caledonia, 2,000 nchini Papua New Guinea, 350 katika Visiwa vya Solomon, 200 nchini Vanuatu, 100 nchini Tonga na kiasi kidogo zaidi huko Kiribati na Samoa.[1]

  1. Muslim Population

Previous Page Next Page