Sehemu nyingine za dunia ambazo zina jumuia nyingi za wahamiaji wa Kiislamu ni pamoja na Ulaya ya Magharibi, kwa mfano, ambapo Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo, ambapo inawakilisha asilimia 6 ya jumla ya wakazi wote.[14]
Kulingana na ripoti ya Pew Research Center mnamo 2010 kulikuwa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi zipatazo 49.[15] Karibu asilimia 62 ya Waislamu wa duniani kote wanaishi Kusini na Kusini mashariki mwa bara la Asia, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni 1.[16] Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu duniani ni Indonesia, hii peke yake inachukua asilimia 12.7 ya idadi ya Waislamu wote wa dunia, ikifuatiwa na Pakistan (11.0%), India (10.9%), na Bangladesh (9.2%).[1][17]
Karibia asilimia 20 ya Waislamu wanaishi katika nchi za Kiarabu.[18] Huko Mashariki ya Kati, nchi ambazo si za Kiarabu - Uturuki na Iran - ni nchi zenye Waislamu wengi sana; huko Afrika, Misri na Nigeria zina jumuia nyingi za Kiislamu.[1][17] Utafiti huo umekuta Waislamu wengi zaidi huko Uingereza kuliko hata Lebanon na wengi zaidi huko China kuliko hata nchini Syria.[1]
↑"Preface", The Future of the Global Muslim Population, Pew Research Center, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-25, iliwekwa mnamo 2015-04-14{{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
↑"Executive Summary". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Sunnite". Encyclopædia Britannica Online. Iliwekwa mnamo 2010-08-26. They numbered about 900 million in the late 20th century and constituted nine-tenths of all the adherents of Islām.
"Quick guide: Sunnis and Shias". BBC News. 2011-12-06. Iliwekwa mnamo Desemba 18, 2011. The great majority of Muslims are Sunnis - estimates suggest the figure is somewhere between 85% and 90%.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Sunni Islam: Oxford Bibliographies Online Research Guide "Sunni Islam is the dominant division of the global Muslim community, and throughout history it has made up a substantial majority (85 to 90 percent) of that community."
"Sunni". Berkley Center for Religion, Peace, and World Affairs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-12. Iliwekwa mnamo Desemba 20, 2012. Sunni Islam is the largest denomination of Islam, comprising about 85% of the world's over 1.5 billion Muslims.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Shīʿite". Encyclopædia Britannica Online. Iliwekwa mnamo 2010-08-25. Shīʿites have come to account for roughly one-tenth of the Muslim population worldwide.
"Shia". Berkley Center for Religion, Peace, and World Affairs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-15. Iliwekwa mnamo Desemba 5, 2011. Shi'a Islam is the second largest branch of the tradition, with up to 200 million followers who comprise around 15% of all Muslims worldwide...{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Iran, Israel and the United States "The majority of the world's Islamic population, which is Sunni, accounts for over 75% of the Islamic population; the other 10-20 percent is Shia." (reference: CIA)
Sue Hellett; U.S. should focus on sanctions against IranIlihifadhiwa 17 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. "Let me review, while Shia Islam makes up only 10-20 percent of the world's Muslim population, Iraq has a Shia majority (between 60-65 percent), but had a Sunni controlled government under Saddam Hussein and cronies from 1958-2003... (If you like government figures, see the CIA World Factbook.)"
Breach of Faith. Human Rights Watch. Juni 2005. uk. 8. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2014. Estimates of around 20 million would be appropriate{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Larry DeVries, Don Baker, and Dan Overmyer. Asian Religions in British Columbia. University of Columbia Press. ISBN978-0-7748-1662-5. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2014. The community currently numbers around 15 million spread around the world{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Juan Eduardo Campo. Encyclopedia of Islam. uk. 24. ISBN0-8160-5454-1. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2014. The total size of the Ahmadiyya community in 2001 was estimated to be more than 10 million{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
A figure of 10-20 million represents approximately 1% of the Muslim population.
↑"Region: Middle East-North Africa". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"Region: Sub-Saharan Africa". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
↑Encyclopædia Britannica. Britannica Book of the Year 2003. Encyclopædia Britannica, (2003) ISBN 978-0-85229-956-2 p.306
According to the Encyclopædia Britannica, as of mid-2002, there were 376,453,000 Christians, 329,869,000 Muslims and 98,734,000 people who practiced traditional religions in Africa. Ian S. Markham, (A World Religions Reader. Cambridge, MA: Blackwell Publishers, 1996.) is cited by Morehouse University as giving the mid-1990s figure of 278,250,800 Muslims in Africa, but still as 40.8% of the total population. These numbers are estimates, and remain a matter of conjecture. See Amadu Jacky Kaba. The spread of Christianity and Islam in Africa: a survey and analysis of the numbers and percentages of Christians, Muslims and those who practice indigenous religions. The Western Journal of Black Studies, Vol 29, Number 2, June 2005. Discusses the estimations of various almanacs and encyclopedium, placing Britannica's estimate as the most agreed figure. Notes the figure presented at the World Christian Encyclopedia, summarized hereIlihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine., as being an outlier. On rates of growth, Islam and Pentecostal Christianity are highest, see: The List: The World’s Fastest-Growing ReligionsIlihifadhiwa 21 Mei 2007 kwenye Wayback Machine., Foreign Policy, May 2007.
"Religion In Britain". National Statistics. Office for National Statistics. 2003-02-13. Iliwekwa mnamo 2006-08-27.
↑"Muslim-Majority Countries". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"Region: Asia-Pacific". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)