Uislamu nchini Eritrea ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo ikiwa na asilimia 36-48 za wakazi wote.