Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Uislamu nchini Namibia

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Namibia ni dini ya tatu kwa ukubwa baada ya Ukristo na dini za jadi za wenyeji.

Idadi kamili ya Waislamu nchini humo ina mgogoro kidogo; makadirio yanaonesha kuna asilimia chini ya 1[1] hadi 3 ya wakazi wote wa nchini humo.[2]

Karibia Waislamu wote wa Namibia ni wa dhehebu la Sunni.[3]

  1. name=report
  2. "IslamOnline.net- News". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-01. Iliwekwa mnamo 2016-05-13.
  3. name=report

Previous Page Next Page