Ujiji | |
Majiranukta: 4°54′41″S 29°40′28″E / 4.91139°S 29.67444°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mikoa ya Tanzania | Kigoma |
Wilaya | Manisipaa ya Kigoma Ujiji |
Ujiji ni mji wa kihistoria upande wa Magharibi wa Tanzania mwambaoni mwa Ziwa Tanganyika. Ni mahali pa kihistoria na mji wa kale katika magharibi ya Tanzania. Iko kilometa 5 tu kutoka kitovu cha Kigoma upande wa kusini wa uwanja wa ndege. Pamoja na Kigoma inafanya manisipaa ya Kigoma-Ujiji.