Ukunda ni mji wa pwani ya Kenya[1].. Ni kata ya kaunti ya Kwale, eneo bunge la Msambweni, nchini Kenya[2].
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 62,529[3].