Ukweli ni uhalisia wa mambo, yaani jinsi kitu, hali au mahali kulivyo bila ya kuongeza yasiyokuwa. Ndilo lengo la akili katika kujua mambo yote kwa dhati iwezekanayo. pia ukweli ni
Unaweza kujulikana kuanzia hisi kwa kufikiria, lakini pia kwa kushika imani ya dini fulani inayosadikiwa imefunuliwa na Mungu.
Wazo hilo ni la msingi hasa katika Ukristo, na kwa namna ya pekee katika Injili ya Yohane.