Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Umeme

Radi angani inafuatana na mwanga wa umeme unaoonekana kwa macho.
Usambazaji wa umeme kwa njia ya nguzo

Umeme au stima hutokea wakati chaji ya umeme inatiririka. Ni chanzo cha nishati tunayotumia kwa kuendesha mashine na vifaa vingi.

Kiasili neno la Kiswahili "umeme" lilimaanisha mwangaza wa ghafla unaofuatana na radi angani, lakini katika Kiswahili cha kisasa hutumiwa zaidi kwa habari ya kisayansi na ya kitekinolojia inayoelezwa hapa.

Kwa maana ya kisayansi umeme ni neno pana sana linalojumlisha mambo mbalimbali ambayo yote yanahusiana na kuwepo kwa chaji ya umeme.


Previous Page Next Page






Elektrisiteit AF Elektrizität ALS ኮረንቲ AM Electricidat AN विद्युत ANP كهرباء Arabic ܟܗܪܒܐ ARC تريسينتي ARY كهربا ARZ বিদ্যুৎ AS

Responsive image

Responsive image