Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na upumuaji. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |
Upumuo ni kitendo cha kuvuta hewa ndani ya mapafu au oksijeni kupitia viungo vingine kama vile matamvua ya samaki, halafu kutoa gesi ya CO2 pamoja na hewa iliyotumiwa.
Kuna pia upumuo wa ndani ambayo ni kazi ya seli za mwili kupokea oksijeni na kuitumia kwa mchakato wa oksidisho ndani yao.