Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Ushindi
Ushindi (kutoka kitenzikushinda, yaani kubaki; kwa Kiingereza: victory) ni neno linalomaanisha kufanikiwa au kufaulu katika matukio kama vile majaribu, mitihani, kesi, mapigano au mechi.