Utah | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Salt Lake City | ||
Eneo | |||
- Jumla | 219,887 km² | ||
- Kavu | 212,751 km² | ||
- Maji | 7,136 km² | ||
Tovuti: http://www.utah.gov/ |
Utah ni jimbo la Marekani upande wa magharibi ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Salt Lake City (mji ya ziwa wa chumvi). Imepakana na Idaho, Wyoming, Colorado, Arizona, na Nevada. Jimbo lina wakazi wapatao 2,736,424 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 219,887. Tangu 1896 eneo lilipata hali ya jimbo la kujitawala.
Gavana amekuwa tangu Agosti 2009 Gary Richard Herbert.