Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Valletta
Kitovu cha kihistoria cha Valetta.Valetta mnamo 1680 kwa macho ya ndege.
Valletta (pia: La Valetta, kwa Kimalta: il-belt "mji") ni mji mkuu wa Malta wenye wakazi 7,100. Mji ulijengwa kama mji-boma kwenye ncha ya rasi ndogo inayozungukwa na maji ya bahari pande tatu.