| |||||
Kaulimbiu ya taifa: "In God we stand" | |||||
Wimbo wa taifa: Yumi, Yumi, Yumi | |||||
Mji mkuu | Port Vila | ||||
Mji mkubwa nchini | Port Vila | ||||
Lugha rasmi | Bislama, Kiingereza, Kifaransa | ||||
Serikali Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Tallis Obed Moses Bob Loughman Weibur | ||||
uhuru kutoka Ufaransa na Uingereza tarehe |
30 Julai 1980 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
12,189 km² (ya 161) negligible | ||||
Idadi ya watu - Julai 2014 kadirio - Msongamano wa watu |
266,937 (ya 183) 19.7/km² (ya 188) | ||||
Fedha | Vanuatu vatu (VUV )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .vu | ||||
Kodi ya simu | +678
- |
Vanuatu ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki ya kusini yenye visiwa 83.
Iko takriban km 1,750 mashariki kwa Australia, km 500 kaskazini-mashariki kwa Kaledonia Mpya, magharibi kwa Fiji na kusini kwa Visiwa vya Solomon.