Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Villahermosa, Tabasco

Sehemu ya Mji wa Villahermosa, Tabasco



Jiji la Villahermosa
Nchi Mexiko
Jimbo Tabasco
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 658,524
Tovuti:  www.villahermosa.gob.mx

Villahermosa (kwa Kihispania: kitongoji sheshe) ndiyo mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Tabasco. Iko kusini - mashariki ya nchi Mexiko. Idadi ya wakazi ni 658,524. Eneo lake ni 61.177 km². Mji upo m 20 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1596.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Villahermosa, Tabasco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Previous Page Next Page