| |||||
Kaulimbiu ya taifa: To Lead is to Serve (Kuongoza ni kuhudumia) | |||||
Wimbo wa taifa: God Save Our Solomon Islands Mungu abariki Visiwa vyetu vya Solomon | |||||
Mji mkuu | Honiara | ||||
Mji mkubwa nchini | Honiara | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Charles III wa Uingereza David Vunagi Manasseh Sogavare | ||||
uhuru tarehe |
7 Julai 1978 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
28,400 km² (ya 142) 3.2% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2018 kadirio - Msongamano wa watu |
652,857 (ya 167) 18.1/km² (ya 200) | ||||
Fedha | Dollar ya Solomoni (SBD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .sb | ||||
Kodi ya simu | +677
- |
Visiwa vya Solomon ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki iliyoko mashariki kwa Papua Guinea Mpya.
Eneo lake ni visiwa karibu 1000, vyenye jumla ya km² 28,400 na wakazi 652,857, wengi wakiwa Wamelanesia (95.3%), wakiongea lugha 90. Lugha rasmi ni Kiingereza.
Kati yao 97.4% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Anglikana na Katoliki (19%).
Mji mkuu ni Honiara kwenye kisiwa cha Guadalcanal.