Wadigo ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga. Pia wapo Kenya wanapoishi upande wa Kusini wa mji wa Mombasa. Huko Kenya huhesabiwa kati ya mijikenda. [1] Lugha yao ni Kidigo.