Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wakikuyu

Kijiji cha Kikuyu

Wakikuyu (pia: Wagikuyu) ni kabila kubwa nchini Kenya lenye watu milioni 8.1 au asilimia 17 za Wakenya wote[1]. Wenyewe hujiita Agĩkûyû. Neno Gikuyu linatokana na mti wa mkuyu (kwa Kik: mũkũyũ). Lakabu ya Wakikuyu ni Nyũmba ya Mũmbi, tafsiri yake ikiwa ni: nyumba ya Muumba.

Wao hukaa hasa katika nyanda za juu za Kenya ya Kati katika mazingira ya Nairobi hadi mlima Kenya. Mlima huu katika lugha yao huitwa "Kĩrĩma kĩrĩ Nyaga". Mlima huu wenye umaarufu kwa kuwa na kimo cha juu ni mahali ambapo wazee, walitolea kafara Mungu wao "Ngai".

  1. Kenya Population 2020, ilingaliwa Machi 2020

Previous Page Next Page






Kikuyu (volk) AF شعب الكيكويو Arabic Kikuyus Catalan Kikujové Czech Kikuyu Danish Kikuyu (Ethnie) German Kikuyu people English Kikujoj EO Kĩkũyũ Spanish Kikuyu (etnia) EU

Responsive image

Responsive image