Wakisankasa ni kabila dogo la watu wa mkoa wa Arusha na mkoa wa Mara katika Tanzania Kaskazini.[1]
Mwaka 1987 walikadiriwa kuwa 4,670 tu.[2] Ni tofauti na makundi mengine ya watu wanaoitwa Wadorobo.