Wakopti (au Wakhufti) ni Wakristo asili wa Misri, ambao wanafuata madhehebu ya pekee katika kundi la Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki na wanaunda kundi kubwa zaidi la wakazi wasio Waislamu katika nchi hiyo[1][2][3][4][5][6] .
Patriarki wao ni Papa Tawadros II, akiwa na makao makuu jijini Cairo.
- ↑ Youssef, Abdel Rahman. "Egyptian Copts: It’s All in the Number", 30 September 2012. Retrieved on 5 April 2016. Archived from the original on 2016-03-04.
- ↑ "Egyptian Copts reject population estimate". Ahram Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-29. Iliwekwa mnamo 5 Aprili 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- ↑ "The Coptic Orthodox Church in action – Al-Ahram Weekly". weekly.ahram.org.eg. Iliwekwa mnamo 2016-05-06.
- ↑ Cairo, Jared Malsin in (2015-02-20). "'We want our sons back': fears grow for Egyptians missing in Libya". the Guardian. Iliwekwa mnamo 2016-05-06.
- ↑ "Egypt must help its poor in response to Libya beheadings, economists say". america.aljazeera.com. Iliwekwa mnamo 2016-05-06.
- ↑ "Egyptian Copts: It’s All in the Number", Al-Akhbar English, 30 September 2012. Retrieved on 8 March 2015. Archived from the original on 2016-03-04.