Wapimbwe ni kabila la watu kutoka Mkoa wa Rukwa, magharibi mwa nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wapimbwe ilikadiriwa kuwa 29,000 [1]. Lugha yao ni Kipimbwe.