Watutsi ni tabaka (kuliko kabila) la watu wa Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na maeneo ya kandokando kama vile Uganda na Tanzania.
DNA inaonyesha kwamba wana undugu mkubwa na makabila ya Kibantu ya jirani, hasa Wahutu.
Lugha zao ni Kinyarwanda na Kirundi.