Uenezi wa Watwa kadiri ya Hewlett & Fancher. Uenezi wa Watwa kadiri ya Stokes. Uenezi wa Watwa kadiri ya Cavalli-Sforza. Uenezi wa Watwa kadiri ya Blench. |
Lugha |
---|
Watwa (pia: Batwa, Cwa) ni kundi la wabilikimo wa Afrika ya Kati (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi, Rwanda, Uganda), lakini pia Zambia, Angola, Namibia na Botswana ambao wanaishi kwa kushirikiana na majirani wao wa makabila ya Kibantu.
Kihistoria inafikiriwa kwamba ndio wakazi asili ya misitu ya eneo hilo kabla ya uvamizi wa wakulima[1][2]
Kwa kiasi kikubwa Watwa wamemezwa na makabila hayo ya Kibantu, kwa mfano katika Tanzania ya leo.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)