Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Waziri Mkuu

Kasimu Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Waziri Mkuu ni cheo cha kiongozi wa serikali. Neno lasema ya kwamba yeye ni mkubwa kati ya Mawaziri wa Serikali. Madaraka yake hutegemea na katiba ya nchi. Kwa kawaida cheo hiki kipo katika nchi ambako mkuu wa dola ambaye mara nyingi huitwa rais au pia mfalme (malkia) hashughuliki mwenyewe mambo ya serikali.

Lugha inaweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi. Anaweza kuitwa pia "Rais wa Mawaziri", "Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mawaziri" au "Chansella".

Kuna hasa aina mbili za Mawaziri Wakuu kufuatana na katiba za nchi mbalimbali:


Previous Page Next Page






Eerste minister AF ጠቅላይ ሚኒስትር AM رئيس الوزراء Arabic رئيس لوزارا ARY رئيس الوزرا ARZ Ministru principal AST Baş nazir AZ باش‌وزیر AZB Patih Agung BAN Primer ministro BCL

Responsive image

Responsive image