Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wilaya ya Bahi

Wilaya ya Bahi ni moja kati ya wilaya nane za Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 413[1].

Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Bahi mjini.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Bahi ilihesabiwa kuwa 221,645 [2] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 322,526 [3].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. http://www.nbs.go.tz/sensa/popu2.php Ilihifadhiwa 13 Aprili 2014 kwenye Wayback Machine. DODOMA REGION, BAHI DISTRICT/COUNCIL POPULATION
  3. https://www.nbs.go.tz

Previous Page Next Page






Bahi District CEB Bahi (Distrikt) German Περιοχή Μπάχι Greek Bahi District English Bahi Spanish Distretto di Bahi Italian Bahi District ZU

Responsive image

Responsive image