Wilaya ya Bukombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Geita.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 396,423 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 407,102 [1].