Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Wilaya ya Kilindi

Kwa maana mbalimbali ya jina hili tazama hapa Kilindi


Kilindi District Council
Mahali paKilindi District Council
Mahali paKilindi District Council
Location in Tanzania (dark green)
Country Tanzania
Zone Northern
Region Tanga
Serikali
 - DC Mh.Sauda Salumu Mtondoo
 - DED Mr.Clemence Mwakasendo
Eneo
 - Jumla 3,428.43 km²
Idadi ya wakazi (2022)
 - Wakazi kwa ujumla 398,391
EAT (UTC+3)
Msimbo wa posta 216xx
Kodi ya simu 027
Tovuti:  kilindidc.go.tz

Wilaya ya Kilindi ni kati ya wilaya 11 za Mkoa wa Tanga katika Tanzania yenye postikodi namba 74208.

Imepakana na wilaya ya Handeni upande wa mashariki, Mkoa wa Kilimanjaro upande wa magharibi-kaskazini na Mkoa wa Morogoro upande wa kusini.

Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 236,833 walioishi katika kata 20 za wilaya hiyo. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 398,391 [1].

Makao makuu ya wilaya yapo Songe.

  1. https://www.nbs.go.tz

Previous Page Next Page






Kilindi District CEB Kilindi (Distrikt) German Περιοχή Κιλίντι Greek Kilindi District, Tanga English Distretto di Kilindi Italian Kilindi Portuguese Kilindi (huyện) VI Kilindi District ZU

Responsive image

Responsive image