Kwa maana nyingine za jina angalia hapa Kilosa
Wilaya ya Kilosa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 674.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 489,513 [1]. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 617,032 (baada ya kumegwa ili kuanzisha wilaya ya Gairo)[2].