Wilaya ya Kondoa Mjini ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41700[1]. Mnamo mwaka 2015 maeneo ya Dodoma Mjini ndipo yalipotengwa kuwa halmashauri ya pekee kutoka Wilaya ya Kondoa).
Makao ya halmashauri ya wilaya yapo Kondoa mjini. Mnamo mwaka 2015, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Kondoa Mjini ilihesabiwa kuwa 64,147. [2] Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 80,443 [3].