Wilaya ya Mombasa | |
Mahali pa Wilaya ya Mombasa katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Mombasa |
Eneo | |
- Jumla | 295 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 939,370 |
Wilaya ya Mombasa ilikuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya.
Makao makuu yake ilikuwa Mombasa mjini.
Baada ya katiba mpya kupatikana, imekuwa kaunti ya Mombasa.