Wilaya ya Mpimbwe ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Katavi.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 215,438 [1].