Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Wilaya ya Mtama
Mahali pa Lindi Vijijini (kijani) katika mkoa wa Lindi.
Wilaya ya Mtama ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Hadi maka 2019 iliitwa Lindi Vijijini[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 215,764 [2]. Misimbo ya posta huanza kwa namba 652.
Mwaka 2019 rais Magufuli aliagiza makao makuu yajengwe Mtama na wilaya iitwe pia Mtama[3].