Wilaya ya Musoma ni wilaya mojawapo kati ya 9 za Mkoa wa Mara yenye postikodi namba 31200.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 330,953 [1] na katika ile ya mwaka 2022, baada ya kumegwa, walihesabiwa 266,655 [2].