Wilaya ya Namtumbo ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Ruvuma yenye postikodi namba 57300.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 185,131 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 271,368 [2].