Wilaya ya Nkasi ni wilaya mojawapo kati ya 4 za Mkoa wa Rukwa yenye postikodi namba 55300.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 208,497 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 425,420 [2].
Wilaya hiyo ilitajwa kwa jina la "Nkansi" katika taarifa ya sensa 2002.