Wilaya ya Songwe | |
Mahali pa wilaya katika Mkoa wa Songwe | |
Majiranukta: 8°25′26″S 33°01′44″E / 8.4238°S 33.0290°E | |
Mkoa | Mkoa wa Songwe |
---|---|
Eneo | |
- Jumla | 16,070 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 229,129 |
Tovuti: http://www.songwedc.go.tz |
Wilaya ya Songwe ni wilaya mojawapo kati ya 5 za mkoa wa Songwe, nchini Tanzania, yenye postikodi namba 54100 [1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 229,219 [2].
Katika wilaya ya Songwe maeneo maarufu ni Mkwajuni ambako ndio makao makuu ya wilaya.
Saza ni eneo maarufu kwa uchimbaji wa madini na kuna mgodi wa Shanta Gold Mine, Kanga, Mbangala.