William Howard Taft | |
![]() | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1909 – Machi 4, 1913 | |
Makamu wa Rais | James S. Sherman (1909–1912) Hapakuwa na naibu wa rais (1912–1913) |
mtangulizi | Theodore Roosevelt |
aliyemfuata | Woodrow Wilson |
tarehe ya kuzaliwa | Cincinnati, Ohio, Marekani. | Septemba 15, 1857
tarehe ya kufa | 8 Machi 1930 (umri 72) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Arlington National Cemetery |
chama | Republican |
ndoa | Helen Herron Taft (m. 1886) |
watoto | Robert A. Taft Helen Taft Manning Charles Phelps Taft II |
mhitimu wa | Yale University |
signature | ![]() |
William Howard Taft (15 Septemba 1857 – 8 Machi 1930) alikuwa Rais wa 27 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1909 hadi 1913. Kaimu Rais wake alikuwa James S. Sherman (hadi 1912 tu).