Yerusalemu | |||
Ukuta wa Maombolezo na Kuba ya Mwamba mjini Yerusalemu | |||
| |||
Jina la Kiebrania | יְרוּשָׁלַיִם (Yerushalayim) | ||
Jina la Kiarabu | القـُدْس (al-quds); rasmi: أورشليم القدس (urshalim-al-quds) | ||
Maana ya Jina | Kiebrania: "Urithi wa amani", Kiarabu: "(Mji) mtakatifu" | ||
Utawala | Mji | ||
Wilaya | |||
Wakazi | 801,000 (Wayahudi 68%, Waislamu 30%, Wakristo 2%) (2011) | ||
Eneo | 126,000 (126 km²) | ||
Meya | Zaki al-Ghul Nir Barkat | ||
Tovuti rasmi | www.jerusalem.muni.il |
Yerusalemu (kwa Kiebrania ירושלים, Yerushalayim; pia: Kudisi kutoka Kiarabu: القدس, al-Quds) ni mji wa Mashariki ya Kati wenye pande mbili. Kwa upande mmoja ni mji mkuu wa Israel. Kwa upande mwingine Yerusalemu ya mashariki inatazamwa kuwa mji mkuu wa Palestina, ingawa imetawaliwa na Israel pia tangu 1967. Israel imetangaza tangu mwaka 1980 Yerusalemu yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi za dunia hazikubali azimio hilo, hivyo balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Yerusalemu.
Yerusalemu ina historia ndefu sana.