Zachary Taylor | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1849 – Julai 9, 1850 | |
Makamu wa Rais | Millard Fillmore |
mtangulizi | James K. Polk |
aliyemfuata | Millard Fillmore |
tarehe ya kuzaliwa | Barboursville, Virginia, Marekani | Novemba 24, 1784
tarehe ya kufa | 9 Julai 1850 (umri 65) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Zachary Taylor National Cemetery |
ndoa | Margaret Smith (m. 1810) |
watoto | 6 |
signature |
Zachary Taylor (24 Novemba 1784 – 9 Julai 1850) alikuwa Rais wa 12 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1849 hadi kifo chake baada ya miezi 16 tu ya kukaa madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa Millard Fillmore aliyemfuata kama Rais.