Zaka (kutoka neno la Kiarabu زكاة, zakat, lenye maana ya "kinachotakasa"; kwa Kiingereza: Tithe) ni toleo la sehemu ya mapato ambalo muumini wa dini fulani anapaswa kutoa kwa Mungu, kwa viongozi wa dini husika au kwa maskini.