Amiba (kutoka Kiingereza "amoeba"[1]) ni jamii ya vijidudu vidogo sana visivyoonekana kwa macho ambavyo huishi kwenye maji na kwenye udongo, lakini pia katika mwili wa viumbehai wengine, vikisababisha pengine maradhi mbalimbali.
Amiba