Andrew Jackson | |
![]() | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1829 – Machi 4, 1837 | |
Makamu wa Rais | John C. Calhoun (1829–1832) Hapakuwa na makamu (1832–1833) Martin Van Buren (1833–1837) |
mtangulizi | John Quincy Adams |
aliyemfuata | Martin Van Buren |
tarehe ya kuzaliwa | Waxhaw Settlement, British America | Machi 15, 1767
tarehe ya kufa | 8 Juni 1845 (umri 78) Nashville, Tennessee, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | The Hermitage, Nashville, Tennessee |
ndoa | Rachel Donelson (m. 1794–1828) |
watoto | 3 |
signature | ![]() |
Andrew Jackson (15 Machi 1767 – 8 Juni 1845) alikuwa Rais wa saba wa Marekani kuanzia mwaka wa 1829 hadi 1837. Alikuwa na Kaimu Rais wawili: kwanza John C. Calhoun, halafu Martin Van Buren aliyemfuata kama Rais.