Annapolis, Maryland

Sehemu ya mkoa wa Annapolis, Maryland





Annapolis

Bendera
Annapolis is located in Marekani
Annapolis
Annapolis

Mahali pa mji wa Annapolis katika Marekani

Majiranukta: 38°58′23″N 76°30′4″W / 38.97306°N 76.50111°W / 38.97306; -76.50111
Nchi Marekani
Jimbo Maryland
Wilaya Anne Arundel
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 36,408
Tovuti:  www.annapolis.gov
Ramani ya Maryland na Annapolis

Annapolis ndiyo mji mkuu katika jimbo la Maryland. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao 36,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Annapolis, Maryland

Dodaje.pl - Ogłoszenia lokalne