Austin | |
Mahali pa mji wa Austin katika Marekani |
|
Majiranukta: 30°18′2″N 97°44′50″W / 30.30056°N 97.74722°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Texas |
Wilaya | Travis Williamson Hays |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 743,074 |
Tovuti: http://www.ci.austin.tx.us/ |
Austin ndiyo mji mkuu katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 149 kutoka juu ya usawa wa bahari.