Jiji la Bangui | |
Nchi | Jamhuri ya Afrika ya Kati |
---|---|
Mkoa | Bangui Autonomous Commune |
Bangui ina wakazi 531 763[1] ni mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mji uko mwambanoni wa mto Ubangi ng'ambo ya mto uko mji wa Zongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kuna viwanda mjini vya nguo, vyakula, bira, viatu na sabuni. Bishara ya nje inalenga wateja wa pamba, ubao, kahawa na katani.