Basilicata ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kusini wa rasi ya Italia, na ni mkoa pekee wenye pwani upande wa mashariki na magharibi.
Mji mkuu wake ni Potenza.
Basilicata