Bavaria (Kijerumani: Bayern) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 12,5 kwenye eneo la 70 551 km². Mji mkuu ni München. Waziri mkuu ni Markus Söder (CSU).
Bavaria