Benjamin Mkapa | |
Muda wa Utawala 23 Novemba 1995 – 21 Decemba 2005 | |
Makamu wa Rais | Omar Ali Juma (1995–2001) Ali Mohamed Shein (2001-05) |
---|---|
mtangulizi | Ali Hassan Mwinyi |
aliyemfuata | Jakaya Kikwete |
Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu,
| |
Muda wa Utawala 1992 – 1995 | |
Rais | Ali Hassan Mwinyi |
Waziri wa Habari na Utangazaji
| |
Muda wa Utawala 1990 – 1992 | |
Rais | Ali Hassan Mwinyi |
tarehe ya kuzaliwa | Ndanda, Masasi, Tanganyika | 12 Novemba 1938
tarehe ya kufa | 24 Julai 2020 Dar es Salaam |
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
ndoa | Anna Mkapa |
watoto | 2 |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Makerere Chuo Kikuu cha Columbia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania |
Fani yake | mwandishi wa habari, mwanadiplomasia |
dini | Ukristo (Kanisa Katoliki) |
Benjamini William Mkapa (12 Novemba 1938 - 24 Julai 2020) alikuwa Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995-2005) na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM.[1]