Bovinae
|
![Nyati wa Afrika (Syncerus caffer)](//upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/66/Serengeti_Bueffel1.jpg/250px-Serengeti_Bueffel1.jpg)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Animalia (Wanyama)
|
Faila:
|
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli:
|
Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda:
|
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
|
Nusuoda:
|
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
|
Familia:
|
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe) J. E. Gray, 1821
|
Nusufamilia:
|
Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe) J. E. Gray, 1821
|
|
Ngazi za chini
|
Jenasi 10:
- Bison C. H. Smith, 1827
- Bos Linnaeus, 1758
- Boselaphus de Blainville, 1816
- Bubalus C. H. Smith, 1827
- Pseudonovibos Peter and Feiler, 1994
- Pseudoryx Dung, Giao, Chinh, Tuoc, Arctander, MacKinnon, 1993
- Syncerus (Hodgson, 1847)
- Taurotragus Wagner, 1855
- Tetracerus Leach, 1825
- Tragelaphus de Blainville, 1816
|
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bovinae ni nusufamilia kubwa katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na ng'ombe. Nusufamilia hii ina jenasi kumi ndani yake: